Ni headlines za mkali kutokea Marekani aitwae ToryLanez ambae kupitia ukurasa wake wa twitter amewajulisha mashabiki zake kuwa tayari ameshamaliza mkataba wake na label ya Interscope Records
Interscope Records ni label kubwa ya muziki iliyopo nchini Marekani inayowasimamia wasanii wakubwa kazi zao ambayo ipo chini ya Universal Music Group.