Mgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona nchini Tanzania Isabela Mwampamba amezungunza kwa njia ya simu na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mbele ya Wanahabari na kusema anaendelea vizuri huku akiwatoa hofu Watanzania na kuwaomba msamaha kwa kuwa mgonjwa wa kwanza wa corona Tanzania.