Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Isack Kamwelwe leo April 4, 2020 amefafanua kuhusu kutokomeza wananchi kusimama kwenye usafiri wa Daladala.
‘Nashukuru hapa nimenawa zaidi ya mara tatu lakini tunashukuru kwamba shirika la Afya Duniani ‘The World Health Organization’ tayari wametoa standard katika vyomba vya usafiri yapo mabasi kama ya UDAT wametengeneza viti vichache kwaajili ya wazee na watu wasiojiweza (walemavu)’- Mh Isack Kamwelwe
Itazame hii video kamili hapa ujionee akiendelea kutoa ufafanuzi