Ikiwa Afrika Kusini imefunga shughuli zake na kukataza mikusanyiko mbalimbali kuepuka janga la Ugonjwa wa Corona Virus, sasa mkali Black Coffee ameamua kutoa burudani bure kupitia online iliyopewa jina la Quarantine Online Party ambapo mkali huyo katoa burudani ndani ya lisaa limoja.
Unaweza bonyeza play kuitazama hii video ujionee burudani hii mwanzo mwisho
https://www.youtube.com/watch?v=j91C3q0GkA8