Wizara ya Afya Uganda imesema mgonjwa mmoja wa corona ameongezeka na kufanya visa vya corona kufikia 54 Uganda, Rais Museveni amesema kesho atatoa msimamo mwingine wa Serikali baada ya siku 14 za marufuku ya kutotembea usiku ili kujikinga na corona,kumalizika.
CORONA: MTANZANIA AJA NA CAMERA ZA KUPIMA JOTO “ZINATAMBUA SURA YA MWENYE TATIZO”