Ni headlines za wasanii Cheed na Killy wanaohusishwa kuondoka kwenye record label ya Kings music baada ya ujumbe uliosambaa mitandaoni kutoka kwenye akaunti zao za Instagram.
Taarifa hizo zilianza baada ya wasanii hao kupost Instagram na kuibua maswali Kama ni kweli wameondoka au ni Kiki wanatafuta ama akaunti zao zimedukuliwa..?
Sasa AyoTV Entertainment imecheki na moja ya kiongozi kutokea King’s Music ambaye amejibu haya…BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUFAHAMU