Ni April 23, 2020 ambapo suala la msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki limefika Bungeni, nimeinasa hii Waziri Mwakyembe amesimama na kujibu swali hilo la kuhusu msanii huyo, itazame hii video mwanzo mwisho.