Ni vitu vingi huwa vinatokea kwenye hii dunia na tayari wamemiliki headlines kwa kugundua vitu vya kipekee mfano gari linalojiongoza lenyewe pamoja na mengine mengi lakini bado hawajachoka kuja na vitu vya aina nyingine kwenye maisha ya kila siku.
Leo hii kupitia millardayo.com stori kutoka Uingereza ni kuhusu ukumbi wa CINEMA ambao watu wanatazama movie wakiwa ndani ya ‘mabeseni’ yenye maji ya moto na vinywaji vyao pembeni.
Umeionaje hii idea ya kutazama movie ndani ya ‘mabeseni’ ? naomba niachie comment yako hapo chini mtu wangu
Unapenda stori kama hizi zisikupite? jiunge na familia ya millardayo.com kupitia twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la MillardAyo ili nikutumie kila ninachokipata.