Wakazi wa kaya zaidi ya 20 eneo la Pugu, DSM wamelazimika kuyakimbia makazi yao , baada ya mafuriko kuzikumba nyumba zao na kuharibu mali , nyumba zimezama na kujaa maji hadi kufanya wakazi hao kutumia mtumbwi kutoka eneo moja hadi jingine mtaani hapo.