Nimekutana na hii picha mtandaoni nikaona si mbaya nikusogezee story yake uweze kuifahamu, picha ilipigwa huko Syria na pichani ni Daktari aliyekua akisambaza mikate kwa watoto walioathirika na vita nchini mwaka 2011 alijikuta akilia baada ya mtoto huyo kumuuliza “Could you give me a medicine so that i wont feel hungry again” akimaanisha “Unaweza kunipa dawa nisisikie njaa tena?”.
“NAENDA KUMWAMBIA MUNGU KILA KITU” MANENO YA MTOTO MDOGO KABLA HAJAFARIKI KWA MABOMU