Waziri wa maliasili na utalii Dkt Hamis Kingwangala leo amefika katika lango lakupanda mlima Kilimanjaro la Marangu, lakini pamoja na mambo mengine amesema wapo katika mpango wakununua helkopta ambayo itakayosaidia kupambana na majanga mbalimbali ikiwemo kuzima moto .
“Uchunguzi wa chanzo unaendelea hatuna jibu moto umeanzishwa na nini,nimewaagiza wawe na utayari wakupamabana na majanga ya moto na tayari tushakuwa na mkakati wakununua helkopta kwa ajili ya taasisi ya Tanzania National Park”-Kigwangala