Habari za Mastaa

VideoMPYA: Baada ya mwaka mzima, leo Hamisa Mobetto katoa wimbo mpya

on

Msanii Hamisa Mobetto ameachia kazi yake mpya akiwa amemshirikisha msanii wa Nigeria Singah ambaye siku chache zilizopita alikuja bongo kwenye show na ndipo Hamisa akafanya naye wimbo huu.

Bonyeza Play kutazama video

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI JINSI MVUA ZA DAR ZILIVYOSABABISHA MAFURIKO, MGARI YAELEA JUU YA MAJI

 

Soma na hizi

Tupia Comments