Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Katibu Mkuu wa CHADEMA aliandika barua kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi yenye Na. C/HQ/ADM/20/TU/05/141 ambayo iliwasilisha orodha ya majina ya Wabunge.
LIVE: SAKATA LA HALIMA MDEE NA WENZAKE, CHADEMA WANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI