NI Mchekeshaji Mc Pilipili ambae Dec 19, 2020 alipata msiba wa kumpoteza mama yake mzazi aliefariki kwenye ajali iliyohusisha Pikipiki na gari, itazame hii video Mc Pilipili akielezea mwanzo mwisho kuhusu kifo cha Mama yake.
MC PILIPILI AFUNGUKA RATIBA ZA MAZISHI YA MAMA YAKE ‘ATAZIKWA MKOANI DODOMA’