NI Dec 21, 2020 ambapo shughuli za kuuwaga Mwili wa Mama MC Pilipili na Julia Anderson zimefanyika leo kwenye kanisani la Mbezi Chapel jijini Dar es Salaam na tayari wamesafirisha kuelekea mkoani Dodoma kwaajili ya mazishi.
Sasa miongoni mwa waliozungumza na kuleta vilio ni Mc Pilipili aliposhika kipaza sauti na kusema’Bado sina ujasiri wa kumuita Marehemu kwasababu ya matendo yake mema na upendo wake ulikuwa ni mkubwa sana’-MC Pilipili
‘Upendo wake umeenda sehemu tofauti tofauti na kuwaguza watu wengi, leo hii mimi nitakuwa nani hapa duniani mama nakuomba uamke nimepokea pole nyingi kila sehemu kuanzia viongozi mpaka wasanii na wengineo usiowajua nakuomba uamke‘- Mc Pilipili
VITUKO VYA MASANJA WATU WAKACHEKA KWENYE MSIBA WA MAMA MC PILIPILI