Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza wanafunzi 10 waliofanya vizuri zaidi katika matokeo ya mitihani ya kidato cha nne. Ilboru na Mzumbe ndio shule pekee za Serikali zilizoingiza majina kwenye top 10 hiyo. Wanafunzi hao waliofanya vizuri ni:
1. Paul Cosmas Luziga (M) (Pandahill-Mbeya)
2. Justina Pius Gerald (F) (Canossa- Dar es Salaam)
3. Timothy Bartholomew Segu (M) (Mzumbe- Morogoro)
4. Isaya Charles Rukamya (M) (Feza Boys- Dar es Salaam)
5. Ashrafu Ramadhani Ally (M) (Ilboru- Arusha)
6. Samson Daimon Mwakabage (M) (Jude-Arusha)
7. Derick Robson Mushi (M) ( Ilboru-Arusha)
8. Layla Khalfan Atokwete (F) (Canossa- Dar es Salaam)
9. Innocent Dastan Joseph (M) (Mzumbe-Morogoro)
10. Lunargrace Greyson Celestine (F) (Canossa-Dar es Salaam)