Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemtaka Naibu Rais William Ruto achague kubaki Serikalini au ajiondoe ni baada ya kusababisha malumbano kwenye Serikali “Kama unataja ubaya wa Serikali toka uache wengine waendelee”.