Burudani

Babu Seya “nimesamehe, lazima niendane na generation iliyopo” (+video)

on

AyoTV na millardayo.com imekutana na Mwanamuziki Mkongwe, Nguza maarufu kama Babu Seya ambapo amezungumza kuhusu burudani atakayoifanya siku ya Valentine Day pamoja na mapinduzi ya Kimuziki ikiwemo ushindani na vijana wa sasa.

Soma na hizi

Tupia Comments