Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- (TAMISEMI), Selemani Jafo, amesisitiza umuhimu wa kufanya kampeni ya kuorodhesha nyumba zote nchini kwa lengo la kukusanya mapato.
Jafo ameyasema hayo leo Februari 12, kwenye ziara ya Rais Dk. John Magufuli, wakati akikagua miradi ya Maendeleo mkoani Morogoro.
Amesema kuwa kampeni hiyo itaanza Februari 15 hadi 28, 2021 na kuwaagiza Watendaji wote wa Serikali za Mitaa na Vijiji kuanza kupita nyumba kwa nyumba kuorodhesha majengo yote kuachilia majengo ya Tasisi za dini ili kuhakikisha Serikali inapata kodi kwa ajili ya mstakabali wa Taifa.
KUMEKUCHA RUTO AMTIBUA UHURU KENYATTA “WEWE KIGEUGEU, NDUMILA KUWILI, TOKA UENDE ZAKO”