“Hadi December 2020, deni la Serikali lilikuwa Tsh.Trilioni 59.0, sawa na ongezeko la 7.6% ikilinganishwa na Tsh.Trilioni 54.8 kipindi kama hicho mwaka 2019, kati ya kiasi hicho, deni la nje ni Tsh. Trilioni 42.8 na deni la ndani ni Tsh. Trilioni 16.2”-Waziri Mpango Dodoma leo
“Ongezeko la deni la Serikali limetokana na kupokelewa kwa fedha za mikopo kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya Barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme na maji; na malimbikizo ya riba ya deni la nje”- MPANGO
“Matokeo ya tathmini ya uhimilivu wa deni la Taifa iliyofanyika December 2020 yanaonesha kuwa deni ni himilivu kwa muda mfupi, wa kati na mrefu”- MPANGO
GONDWE MGUU KWA MGUU KEKO BARABARA IMEREKEBISHWA AKUTANA NA KERO “HAIJAWAHI KUTOKEA KAMA WEWE”