Harmonize amejibu swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi hasa baada ya kushamiri kwa penzi lake na muigizaji Kajala, ikiwa inafahamika wazi kuwa Harmonize alifunga ndoa naSaraha vipi baada ya kuachana? Talaka alitoa?.
“Sarah ni mtu ambaye nimeishi nae kwa miakq minne kama vijana kuna mengi tumeyapitia kama changamoto ninachoshukuru ni kila mmoja yupo kwenye maisha mengine sasa hivi na ninamuombea Mungu amsaidie, talaka nimeandika” Harmonize