Waziri wa Ofisi wa Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Seleman Jafo amelipongeza Jeshi la Polisi Mwanza kwa kukamata mifuko ya plastiki pamoja na kutaka watuhumiwa kufikishwa Mahakamani na kuwataka watu kuacha kucheza na Serikali.