Polisi wa Metropolitan nchini England wamethibitisha kuwashikilia watu 9 ambao wamehusika na vurugu baada ya mechi ya robo fainali ya EURO 2020 kati ya England vs Ukraine.
Tukio limetokea baada ya mechi, wakati Polisi wakidhibiti uwepo wa mikusanyiko mikubwa ya watu jijini London ambao walikuwa wakishangilia Englang kuingia nusu fainali.
Kati yao, watatu wanatuhumiwa kuwajeruhi askari wawili. Katika mchezo huo England ilishinda 4-0.
HUYU NDIO ANTONIO NUGAZ BAADA YA KUIFUNGA Simba SC LEO, HII NDIO KAULI YAKE