Ni Staa kutokea Nchini Ghana, Sarkodie ambae time hii ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kusitisha kuachia album yake aliyoipa jina la No Pressure ilitarajiwa kuachia tarehe 9 Julai, 2021, taarifa hiyo ameitoa kupitia ukurasa wake wa instagram na kuwaahidi ataiachia Julai 30, 2021.
Mbali na taarifa hiyo amewaahidi mashabiki wake kuwa kuwa wiki hii tarehe 9 ataachia mkwaju mpya.
Star wa hiphop kutokea nchini #Ghana @sarkodie amesitisha kuachia album yake #NoPressure iliyokuwa itoke julai, 9, 2021
Nyota huyu ametumia ukurasa wake wa instagram kuomba radhi kufuatia taarifa hiyo na kutoa tarehe rasmi ya kuachia album yake hiyo ambayo ni julai, 30, 2021
Hata hivyo katika taarifa yake hiyo #Sarkodie hakuwaacha hivi hivi mashabiki wake, kwani amewaahidi kuwapa ngoma mpya siku ya ijumaa hii tarehe 9