Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma
Wanajeshi wamelazimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hizo.
Katika Jimbo ambalo Zuma anatokea, KwaZulu Natal kumekuwa na fujo nyingi ikiwemo raia kuchoma maduka, vurugu ambazo zilianza mara baada ya Zuma kujisalimisha polisi ili kutumikia kifungo cha miezi 15.
HISTORIA YA KWELI YA SOKO LA KARIAKOO, KIFO CHA ALIELIBUNI, KUTEKETEA MOTO, UTAALAMU WA ISRAEL
https://youtu.be/siw7OgOAbj4