Shahidi wa tatu katika kesi ya Unyang’anyi wa kutumia Silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Ramadhani Rashid (26) maarufu kwa jina la Anas ameieleza Mahakama namna alivyopigwa na Sabaya na kuporwa simu ya mkononi na fedha kiasi cha sh, 35,000.