Ni usiku wa Mchongo wa Big Joe uliofanyika katika parking Za Clouds Media, na hawa hapa ni Nikki wa Pili, Mwana FA Viongozi ambao waliokulia katika tasnia ya muziki na kupata airtime ya kutosha kupitia Clouds Media, Pamoja Na Msanii Shilole na Joh Makini, Wao Pia wamekua na haya ya kusema kuhusu Mchongo wa Big Joe na mchango wake katika kuwapa michongo vijana wengi.
MILLARD AYO “NILINYIMWA MKOPO KISA SINA HATI YA NYUMBA, GARI, KUSAGA AKANIPA HELA”