“Watanzania tunajua kwamba dunia nzima imekumbwa na Ugonjwa huu na toka tumeanza kuukabili ugonjwa huu kila nchi imekuwa ikitafuta namna nzuri ya kuwaokoa Wananchi wake”- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
“Nikubaliane nae kwamba tumepoeza ndugu zetu lakini pia Maambukizi yapo kinachofanywa na Serikali kwasasa ni kutoa Elimu namna ya kujikinga na Ugonjwa huu”- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni.
“Lakini kuimarisha kwenye maeneo yetu yote ya kutoa huduma kuanzia ngazi za Zahanati, kituo cha Afya, Mikoa lakini pia kupeleka madawa zoezi hili linaendelea nchini kote”- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
WAZIRI MKUU ALIVYOJIBU MASWALI YA PAPO KWA HAPO KUTOKA KWA WABUNGE BUNGENI LEO