Ulikua mbali na Radio leo? hizi ndio habari kumi kubwa za AMPLIFAYA May 5 2014 mtu wangu… ni show ambayo husikika Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia CLOUDS FM kuanzia saa moja usiku.
#AMPLIFAYA May5 #10 Ndege 300 kutumika kwenye msako mpya wa ndege ya Malaysia, vitatumika pia vifaa au ‘magari’ ya chini ya maji.
#AMPLIFAYA May5 #9 Imefahamika, baadhi ya wanaolipua mabomu Kenya ni watu wenye asili ya Kenya walioshawishiwa kujiunga na Al Shabaab.
#AMPLIFAYA May5 #8 Meli ya mizigo imezama Hong Kong na watu 11 hawajulikani walipo, hii ni baada ya meli hiyo kugongana na nyingine.
#AMPLIFAYA May5 #7 Sheria mpya za kiislamu nchini Brunei ni kosa kukosa ibada Ijumaa, pia ubatizo Makanisani hautofanyika tena.
#AMPLIFAYA May5 #6 Time hii Bunge la bajeti linaloanza kesho litakua na vikao mpaka Jumamosi, Wizara itakua na siku moja ya uwasilishaji.
#AMPLIFAYA May5 #SalehAlly Mayweather ni kiumbe anaelipwa BILIONI 51 Tsh kwa dakika 36, amevaa viatu bila kurudia kwa miaka mitatu na nusu.
#AMPLIFAYA May5 #4 Baada ya ushindi KTMA Isha Mashauzi anasema sifa yake nyingine ni kuimba kwenye stage kwa dakika 360 bila kushuka.
#AMPLIFAYA May5 #3 Christian Bella asema tuzo aliyoshinda jana KTMA ni yake ya kwanza Tz na ilikua iwe yake miaka yote tu kwa hits zake.
#AMPLIFAYA May5 #2 Elizabeth Msodoki (Mama Young Killer) >> “nilifurahi sana juzi mpaka nililia na kutetemeka.. naupenda Dear Gambe ” #KTMA
#AMPLIFAYA May5 #1 Ashura Maguha (mama FidQ ) amesema ‘Baada ya ushindi wa Fid Q KTMA tulifurahi sana, toka zamani nilihisi lazima atashinda’
Hii countdown ni kwa hisani ya warahisishaji wa mawasiliano Vodacom pamoja na warahisishaji wa usafiri wa anga kati ya Dar – Kilimanjaro, Mwanza, Mbeya, Johannesburg na Lusaka….. >>> fastjet