Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma ameomba radhi.
“Kwa hiyo niliona tukutane pamoja na mambo mengine niweke sawa jambo hilo lilivyokuwa, hapakuwa na lolote la kukashifu wala kudharau juhudi zozote za Serikali, tunahitaji Serikali na tunaiunga mkono” Spika Ndugai
“Katika mazungumzo yetu niliwataka wenzetu pamoja na mabo mengine tulipe kodi, ushuru na tozo mbalimbali huo ndio ulikuwa msisitizo wa hotuba yangu” Spika Ndugai