Hospital ya taifa ya Afya ya Akili Mirembe imetoa taarifa ya kufariki kwa aliyekuwa mtumishi wa Hospital hiyo Rufina Komba aliyekutwa ameuwawa kikatili nyumbani kwa Mchese jijini Dodoma.
Ayo TV amefika nyumbani kwa marehemu na kuzungumza na majirani ambao wamesema taarifa ya tukio hilo wameipata majira ya saa saba usiku na mumewe akimbia kusikojulikana.
ALIYEMFUNDISHA PANYA MAGAWA KUNUSA NA KUTEGUA MABOMU AFUNGUKA “TUTAMTAFUTA MRITHI WAKE”