Ni Mjasiriamali na mzazi mwenza wa Diamond Platnumz aitwae Zari The Boss Lady time hii ameonekana kuwatolea uvivu kwa wanaosema kuwa amefanya surgery ili kumuiga Hamisa Mobetto.
Taarifa hiyo ameshare kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo alipost video ikimuonesha akizungumza kwa kile kinachoendelea mitandaoni.