Mawakili wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya wamewasilisha hoja zao 14 ambazo zinapinga hukumu iliyotolewa ya kuwafunga miaka 30 ambapo Upande wa Jamhuri wataanza kuleta hoja zao February 18,2022.