February 21 2022 imefanyika misa ya kuaga mwili wa Dr. Mwele Malecela imefanyika Katika kanisa la Anglikana Dodoma kisha mwili utapelekwa mvumi na kutolewa heshima za mwisho kwa watu wa wilaya ya Chamwino.
Mara baada ya Misa hiyo viongozi mbalimbali walipata nafasi ya kutoa salamu za rambirambi na miongoni mwao ni Waziri wa katiba na Sheria George Simbachawene