Moja kati ya video zilizogusa hisia za wengi ni hii video ya Raia wa Ukraine ambaye ni Baba wa Mtoto anayeagana nae hapa wakati akimsafirisha Mtoto wake kwenda kwenye maeneo salama na yeye akibaki kupambania Nchi yake.
Serikali ya Ukraine imetangaza kuwa ni marufuku kwa Wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 60 kuondoka nchini humo badala yake wametakiwa kubaki ili wapigane kuitetea Nchi yao.
Unaweza ukabonyeza play kutazama Baba alivyolia kwa uchungu wakati akiagana na Mwanae.
MAPYA UKRAINE: RAIS AAGIZA WANAUME KUBAKI ILI KUILINDA NCHI KUTOKANA NA UVAMIZI WA URUSI