Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la kombora leo Jumapili kwa ajili ya kuthibitisha hatua iliyofikiwa katika uimarishwaji wa mfumo wa upelelezi wa kutumia satelaiti, jana pia Korea Kasakzini ilifanya jaribio la kombora na hii inafanya makombora yaliyojaribiwa na Nchi hiyo ndani ya mwaka huu pekee kufikia kumi.
Marekani, Japan na Korea Kusini wamelaani majaribio hayo wakihofu kuwa huenda Korea Kaskazini inajiandaa kufanya jaribo ambalo litavuruga amani.
RAIS WA UKRAINE AMPIGIA SIMU BIDEN ‘WAJADILI VIKWAZO DHIDI YA URUSI’