Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Wilbroad Mutafungwa amesema Jeshi hilo linamshikilia Dereva wa IST ambaye gari alilokuwa anaenesha aliacha mlango wazi huku abiria wawili wakining’inia mlangoni na mmoja juu ya gari.
RAIS WA UKRAINE AFUNGUKA “UWEPO WA VITA YA TATU YA DUNIA, TUPENI ULINZI WA MAKOMBORA”