Bondia wa Ngumi za Kulipwa nchini Twaha Kiduku na Bondia kutoka Nchini Congo Alex Kabangu wamekutana mbele ya waandishi wa habari kuzungumza kuelekea katika mchezo wao utakaofanyika Machi 26, 2022 Mkoani Morogoro.
Hapa nimekusogezea pia ushuhudie mazoezi ya Twaha Kiduku pamoja na walichozungumza kuhusu pambano lake na Mcongo.
TAZAMA MJANE ALICHOMWAMBIA RAIS SAMIA “UMECHUKUA MWENENDO ULE ULE WA HAYATI JPM”