Mradi wa Ujenzi wa Stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo uliyopo Ilemela Mwanza umekamilika kwa 100%, ulianza kutekelezwa July 30,2019 na umekamilika Feb 20, 2022.
Ujenzi huo umegharimu kiasi cha fedha Bilioni 26 ambapo makadirio ya awali yalikuwa Bilioni 28, Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Joseph Apolinary wameweza kutumia Bilioni 26 kutokana na usimamizi mzuri wa fedha za umma.
VITA UKRAINE: MELI KUBWA YA URUSI ILIYOBEBA SILAHA YALIPULIWA