Bandari ya Dar es salaam imeweka rekodi mpya ya kupokea meli kubwa yenye urefu wa mita 189.45 ikiwa na shehena ya magari 4,041 ikitoka Japan ambapo magari 2,936 yanakwenda nje ya nchi huku 1105 yakibaki Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania amesema Erick Hamis amesema haya ni matunda ya maboresho waliyofanya.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuanza kutumia Bandari za Nchi Kavu (ICD) zinazokidhi vigezo ili kupunguza msongamano wa magari bandarini.
KOREA KASKAZINI YAMUUNGA MKONO PUTIN, TANZANIA YAENDELEA KUSIMAMA KATIKATI, KENYA WABADILI MSIMAMO