Mkuu wa Mkoa wa Geita Bi. Rosemary Senyamule April 27 ameendelea na ziara yake ya kikazi kukagua miradi inayotekelezwa Mkoani Geita, ambapo pamoja na kukagua miradi mwisho akahitimisha kwa kusikiliza na kujibu kero za Wananchi na hapa ni maswali ya Wananchi kwa mkuu wa mkoa na kisha akayatolea majibu.