Kijana anayefahamika kwa jina la Pendael Charles amenusurika kuuawa baada yakudai kupigwa risasi mbili za mguu wakati akizuia nyumba yake isivunjwe na madalali.
Mwenyekiti wa kijiji cha Shiboro amesema hakuwa na taarifa juu ya madalali hao kufika kijijini kwake na hakuwa na taarifa juu ya uvunjwaji huo wa nyumba.
TAZAMA HALIMA MDEE NA WENZAKE WAIBUKA MKUTANONI CHADEMA NA GWANDA ZAO