Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na Upelelezi kutokamilika huku sabaya akinyoosha kidole nakuomba upelelezi kukamilika kwa wakati nakumuomba Rais kuingilia kati kesi hiyo.