Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Augustine Okrah July 17, 2022 amecheza game yake ya kwanza akiwa na Simba SC dhidi ya Ismaily wakiwa nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi kwa siku 21 na ameanza kwa kufunga goli katika mchezo huo wa kirafiki uliyomalizika kwa sare 1-1.