Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nassibu mkazi wa Mkazi wa Tegetero Morogoro Vijijini kwa tuhuma ya kuwaua kwa kuwanyonga Mkewe na mtoto wake.
Ayo TV na Millardayo.com zimefunga Safari hadi nyumbani ulipo msiba huo na kuzungumza na Kaka wa Marehemu Justine Marten ambapo amesema kabla tukio hilo walipokea taarifa kuwa Mtuhumiwa alikua amepata matatizo ya afya akili ambapo alitoweka nyumbani kisha baadae kurejea na kufanya tukio hilo.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.