James Msengi mkazi wa Tabora anayekadiriwa kuwa na umri miaka 40 amenusurika kifo baada ya kujaribu kujiua kwa kujikata na kisu shingoni katika Tukio hilo limetokea kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi Msamvu mkoani Morogoro.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.