Meneja wa Diamond ameongea na millardayo.com saa saba mchana May 18 2014 na kusema link hii hapa chini ambayo ilipatikana kupitia kwa mwandishi/mpigapicha wa Diamond ni ya kituo cha Redio kilichoamua kupata kura za wasikilizaji tu kwenye list ya washiriki wa tuzo za BET 2014 ambazo pia vilevile zinaweza kumsaidia msanii kivyake.
Ile yenyewe ya BET wamesema watatuma email kesho na ndipo watasema ni njia gani kuu itatumika kuwapigia kura washiriki.