Ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila akiongea na baadhi ya vikundi mbalimbali vinavyoshiriki katika shughuli za maendeleo Mkoani humo.
Ikiwemo shirikisho la Umoja wa machinga Mkoa Kagera,mama lishe na baba lishe,jukwaa la uwezeshaji wa Wananchi kiuchumi pamoja na shujaa wa maendeleo ambapo anatumia nafasi hiyo kueleza msimamo wake katika kusimamia miradi ya maendeleo sambamba na kutoa rai kali kwa watu watakaokwamisha maendeleo Mkoani humo.