Mbunge wa Biharamulo, Eng. Ezra Chilewesa kusimama na kuliomba Bunge kuahirisha shughuli zake zilizopangwa kwa muda ili kujadili tatizo la wanafunzi kukosa mikopo ya elimu ya juu.
Hoja hiyo iliungwa mkono na wabunge na Spika wa Bunge alitoa nafasi ya wabunge kujadili na kutoa michango yao na hatimaye bunge likaazimia wanafunzi hao wawezeshwe kuendelea na masomo.