Mazishi ya aliyekuwa balozi wa Austria na mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Viena aliyefariki kwenye ajali ya gari Mkoani Tanga yamefanyika Mkoani Kilimanjaro huku viongozi mbalimbali wakishirikia ikiwemo Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.